Wanasema ukiamua kuingia katika mahusiano(kumpenda mtu) mpende tu but "expect nothing in return" hii ni kweli kbsa Kama umeamua kumpenda mtu mpende tu muoneshe upendo kadri moyo wako unavoweza .
.
Ila mind you..kutotegemea chochote haimanishi ndo umuache mweza wako aku mistreat.. Na kushusha thamani yako ila inamaanisha kuwa "Giving love doesn't guarantee receiving love" kila mtu anaupendo wake na jinsi anavo uonesha most of u fail sababu ya kuwa na mentality ya navomuonesha mm upendo ndo anavotakiwa kunionesha Mimi
.
.
Hilo nikosa.... Kama unataka kuwa na furaha katk mahusiano basi jaribu kupenda for the sake of love na utambue kuwa kila mtu unaweza kuwa na namna yake ya kuonesha upendo,, provided you're not undervalued , don't expect to be loved back exactly the same way...

Hakuna maoni