MAUMIVU
Kunaweza kua na sababu za msingi za kumruhusu aende,inawezekana kubaki kwake kukaleta
tabu na mateso zaidi,MRUHUSU AENDE,unaweza kujikuta ukijiuliza kua akiondoka hutopata
kama yeye?ni kweli inawezekana lkn pia inaweza isiwezekane,kwani mungu ana makusudio
makubwa kwa kila lililopo mbele yako,INAUMA?yaruhusu maumivu ya muda ambayo
utakuja kuyasahau au kumpata bora zaidi yake na ATAKUSAHAULISHA;,maumivu
yakumruhusu aende ni bora zaidi kuliko kubaki na mtu unaejua ataenda tuu,,,,,,tafakari
Hakuna maoni