Baadhi ya watu wanafuatilia maisha yako ili wajifunze hekima kutoka kwako na baadhi
wanafuatilia maisha yako ili wasajili makosa yako na aibu zako(wakazitangaze) ,Wote wawili
wamependezwa nawe ,wakwanza anakupenda na wapili anakuhusudu
Kua makini na watu wako wanaokuzunguka na umuombe sana
Mungu akupe macho ya rohoni ili uweze kumtambua akupendae na anaekuhusudu
Hakuna maoni